Tunapenda kuwataarifu kuwa siku ya kufunga shule kwa nusu ya muhula huu wa kwanza itakua Ijumaa tarehe 03 Disemba, 2021 kwa wanafunzi wa kutwa na 

 

Kwa wanafunzi wa bweni wao itafunga siku ya Jumamosi tarehe 04 Disemba, 2021 na watatakiwa kuchukuliwa siku hiyohiyo kuanzia saa 1:00 hadi saa 2:00 asubuhi.

                                              KARIBUNI