Tunapenda kuwatangazia wazazi na walezi wa wanafunzi wa darasa la IV kuwa;

  • Wanafunzi wanatarajia kufanya mtihani wao wa NECTA siku ya Alhamisi tarehe 28/10/2021 na siku ya Ijumaa tarehe 29/10/2021.
  • Hivyo basi wanafunzi wa bweni wao watafunga shule na kuchukuliwa siku ya Jumamosi tarehe  30/10/2021 kuanzia saa 1:00 hadi 2:00 asubuhi.
  •   NB: Atakaye ruhusiwa kumchukua mtoto, ni yule aliye orodheshwa kwenye kumbukumbu zetu na atatakiwa kuwa na  kitambulisho chenye picha.

 

  • Tunawatakia safari njema mnapokuja kuwachukua watoto wetu.