Tunapenda kuwataarifu kuwa siku ya usahili (Interview) kwa wanafunzi wanaopenda kujiunga na shule yetu kwa mwaka 2022 itakuwa tarehe 18/12/2021 kuanzia saa 2:00 asubuhi.

VITU VYA KUJA NAVYO  NI KAMA IFUATAVYO.

  1. Copy ya cheti cha kuzaliwa cha mtoto
  2. Passport size 3
  3. Tsh 40,000/= kwa ajili ya usahilina fomu ya kujiunga.
  4. Matokeo ya Usahili yatatolewa siku hiyo hiyo.

KARIBUNI SAANA