Tunapenda kuwataarifu kuwa Bank ya CRDB imeanzisha mfumo waulipaji wa Ada kupitia Control Number hivyo utapokea ujumbe mfupi (SMS) wenye Jina la Mtoto na kiasi cha kulipa na Control Number utakayotumia kulipia. Unaweza kulipia kwa njia zifuatazo:

KISWAHILI ENGLISH

Piga: *150*03#

-Then menu number 4.Malipo ya ankara

-Then menu number 6. Malipo ya taasisi

-Then menu number 2. make payments

Dial: Dial *150*03#

-Then menu No.4. Bills payments

-Then menu 6.Institutional payments

-Then menu 2.Make payments

 

MOBILE APP
Login to mobile app
Go to menu "Services"
Then select menu "School"
Then on menu school click "School fees"

FOR VODACOM (M-PESA)

1. Dial(Piga) *150*00#
2. Enter 1 [Send money ( Tuma pesa)]
3. Enter 4 [ To bank (kwenda benki) ]
4. Enter 1 [ CRDB ]
5. Enter 1 [ Enter Reference ( Weka namba ya kumbukumbu ) ]
6. Enter your system reference number / weka namba yako ya malipo uliyoipata kutoka kwenye mfumo
7. Enter amount / Weka kiasi cha kulipa
8. Enter PIN / weka namba yako ya siri
9. Enter 1 [ to Confirm / kukubali ] or 2 [ to cancel / kusitisha ]

FOR AIRTEL (AIRTEL MONEY)
1. Dial ( Piga ) *150*60#
2. Enter 1 [Send money ( Tumapesa)]
3. Enter 3 [ To bank (kwenda benki) ]
4. Enter 2 [ CRDB Bank]
5. Enter your system reference number / weka namba yako ya malipo uliyoipata kutoka kwenye mfumo
6. Enter amount / Weka kiasi cha kulipa
7. Enter PIN to send xxxxxx amount to CRDB BANKCRDB COLLECTION account number (your reference number) / weka namba yako ya siri kutuma kiasi xxxxxxx kwenda CRDB BANKCRDB COLLECTION akaunti namba (namba yako ya kumbukumbu ya malipo)

FOR TIGO (TIGOPESA)
1. Dial ( Piga ) *150*01#
2. Enter 7 [ Financial services / Huduma za kifedha ]
3. Enter 1 [ TigoPesa to Bank / Tigopesa kwenda Benki ]
4. Enter 1 [ CRDB ]
5. Enter 1 [ Enter reference number / Kuingiza namba ya kumbukumbu ]
6. Enter your system reference number / weka na mbayako yamalipo uliyoipata kutoka kwenye mfumo
7. Enter amount to pay / Weka kiasi cha unachotuma
8. Enter PIN to Confirm / Ingiza nambaya siri kuhakiki